ahaba hadharani, hasa kwenye sebule ya nyumba. Mazingira haya yanaweza kuleta ukaribu mkubwa lakini pia yanahitaji kuzingatia mipaka, hasa ikiwa kuna watu wengine nyumbani.
Faida za Mahaba ya Sebuleni:
Kubadili mazingira:
Siku moja moja si lazima chumbani jaribu kuzifanya sebule iwe sehemu ya mtoko kama vile mmeenda 'out'
Ukaribu wa haraka:
Mazungumzo ya kawaida hugeuka kuwa ya kimahaba kwa urahisi. Mara nyingi baadhi ya wanandoa au watu walio kwenye mahusiano hufikiri kwamba kila kitu ni lazima kifanyike chumbani. La hasha hata Sebuleni ni uwanja tosha
Kustarehe pamoja:
Mnaweza kuanza mkiwa mmesimama au Kupumzika kwenye sofa huku mkishikana mikono au kukumbatiana.
Mipaka ya faragha:
Epuka vitendo vya faragha kama kuna watoto, ndugu, au wageni. Ni vema kufanya hivo mkiwa peke yenu au kuhakikisha milango imefungwa.
Heshima ya nyumba:
Sebule ni eneo la pamoja; weka mipaka ya kimaadili kulinda hadhi ya familia
Siri na usalama:
Hakikisha madirisha na mapazia vimefungwa kuzuia macho ya nje na milango imefungwa vizuri. Mgeni anayekuja abishe hodi ili asiwakutilize kwe tendo.