Hata hivyo ni jambo la kheri kwa mwanamke kuwakuta wadudu Hawa kwenye nguo yake ya ndani. Kama haijawahi kukutokea japo hata mara moja tangu kuvunja ungo kwa Binti, hiyo ni ishara nuksi na umasikini.
Zipo sababu nyingi ila hapa tutafafanua chache.
Ufafanuzi:
#1. Sababu za Kisayansi na Kibiolojia:
Harufu ya Sabuni au Losheni:
Nyuki huvutiwa sana na harufu nzuri za maua. Ikiwa uliyoa chupi kwa sabuni yenye harufu nzuri au ulitumia vipodozi vyenye nakshi ya maua, nyuki wanaweza kuifuata wakidhani ni chanzo cha chavua.
Unyevunyevu:
Nyuki pia hutafuta maji na chumvi. Ikiwa chupi ilikuwa na unyevunyevu kidogo wa jasho au chumvi, nyuki wanaweza kuvutiwa nayo ili kunyonya madini hayo.
Kazi ya Utafutaji ya Nyuki:
Nyuki hupenda kutua sehemu mbalimbali ili kupumzika wakati wa kutafuta chakula.
#2. Sababu za Kiasili na Imani:
Katika mila za Kiafrika na tamaduni nyingine, nyuki wakati mwingine huchukuliwa kama viashiria vya bahati, utajiri, au ishara za kiroho.
#3. Baraka na Nyota Nzuri:
Kwa Binti au mwanadada ambaye hajaolewa hii inaweza kuwa dalili au ishara ya kuolewa na mtu au ukoo au familia yenye mali na utajiri mkubwa.
#4. Ubikira: Katika baadhi ya jamii huamini kwamba nyuki wanaweza kuria kwenye chupi ya Binti au mwanamke ambaye ni bikira. (Hajachafuliwa au kuchezewa na wanaume)
#4. Ishara ya kuchumbiwa na wanaume Matajiri: sawa na sababu hapo juu, kwa mabinti au mwanamke ambaye hajaolewa pia inaweza kuwa dalili ya kuchumbiwa na watu wenye pesa.
Lakini pia inaweza kuwa dalili ya kupendwa na wanaume wengi.
Katika baadhi ya imani au masuala ya kiroho, kuna wanaohusisha uwepo wa wadudu kama nyuki katika nguo za ndani na mambo ya kishirikina.japo ni kwa asilimia ndogo ingawa hakuna uthibitisho wa kisayansi wa hili.
#6. Je, ni vema kuendelea kuivaa? Kiafya, sio salama kuendelea kuivaa moja kwa moja bila usafi sahihi kutokana na sababu zifuatazo:
Hatari ya Kuumwa:
Nyuki wanaweza kukuchoma (Kukung'ata) endapo utaivaa chupi hiyo bila kufanya ukaguzi wa kina.
Uchafu:
Nyuki hutembelea maua na maeneo mengi, hivyo wanaweza kuacha uchafu, chavua, au bakteria kwenye nguo.
*Tahadhari ya Kiafya Wataalamu wa afya na wanajamii wanashauri kuwa makini sana na jinsi unavyoanika chupi.
*Inapendekezwa kuifunika kwa nguo nyingine juu (kama kanga au shuka) ili kuepusha vumbi, wadudu, na kudumisha heshima.
Ushauri:
Ni vyema kufanya kufua upya chupi hiyo kwa maji safi na sabuni, kisha kuianika ndani ya nyumba au sehemu salama ili kuondoa harufu zote na kuhakikisha inakuwa safi na salama kabisa kwa matumizi.
Kwa mawasiliano zaidi kuhusiana swala hili, au maswala Bahati na Nyota kwa wadada au wanawake ambao hawajaolewa au wanatafuta kuolewa,au kufunguliwa ili wapate wanaume:
Piga +254 101075600 Kenya)
+255662706376 (Tanzania)
