# CONDOLENCES TO THE PASSING ON OF RACHEL WANDETO


Tunasikitika kwa tukio la kifo Cha Rachel Wandeto. Tunaungana na familia,ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huo.

Ni matarajio yetu kwamba mkondo wa Sheria utafuatwa kwa Wahusika wa unyama huu kukamatwa na kufikishwa mbele ya Sheria 

Post a Comment

Previous Post Next Post