Wadada hebu jiachie tuambieni ukweli ni mwanaume yupi ambaye
atasalia kumbukumbu maishani mwako.... utafiti unaonyesha wapo Wanaume wawili ambao mwanamke hawezi kuwasahau.Hawa ni;
I) Mwanamume mwanamume aliyembikiri. (mwanamume wa kwanza):
Ii) Mwanamume aliyempenda sana au aliyempa hisia kali za mapenzi:
Awali:
Je, mwanamke anaweza kumsahau mwanamume aliyevunja ubikira wake?
Jibu:
Mara nyingi ni ngumu kumsahau kwa sababu ya umuhimu wa tukio hilo, lakini mwanamke anaweza kuendelea na maisha yake na kuacha kumfikiria mwanamume huyo.
Toa maoni yako....
