Hasira na simanzi zimewakumba wakazi wa Arusha baada
ya kusambaa kwa taarifa za tuhuma nzito za ukatili wa Ubakaji dhidi ya Ajuza mwenye umri wa miaka 80, mkazi wa Mtaa wa Olmokea, Kata ya Sinoni.Kijana anayedaiwa kujitambulisha kama ndugu wa familia anatajwa kuhusika katika tukio hilo, huku jamii ikitaka sheria ichukue mkondo wake haraka.
Uchunguzi unaendelea.
