#Swali: Je, ni kweli kwamba mwenzi ni lazima akojoe baada ya tendo la ndoa?
Jibu:
"Ndiyo, inashauriwa sana kukojoa baada ya tendo la ndoa ili kuzuia maambukizi ya njia ya mkojo (UT).
Umuhimu (Importance):
Kukojoa baada ya tendo husaidia kutoa bakteria zilizoingia kwenye njia ya mkojo (urethra) wakati wa tendo na hivo kupunguza kuambukizwa UTI
Ni muhimu zaidi kwa wanawake kwa sababu mrija wao wa mkojo ni mifupi na bakteria huingia kwa urahisi zaidi.
Hata hivo kitendo hicho ni tadhadhari ya kupunguza Kasi ya kuambukizwa lakini haiathiri uwezekano wa kupata UTI endapo utajamiana na mtu mwenye maambukizi.
