#TRANSFORMER YA UMEME INAUNGUA SIRARI

 Muda huu usiku tar16 aprili 2026, Transformer ya umeme

wa Grid ya Kehancha inaingia eneo.la.kata ya Makerero karibu na Shule ya Misingi Keborui

, Isibania, Kehancha Sub County.

Taarifa zinasema si mara ya kwanza Transformer hiyo kuingia na maafisa wa KPL company wamekuwa wakizuru eneo hile bila kufanya matengenezo yoyote.

Post a Comment

Previous Post Next Post